Mwaka Mpya. Maarifa Mapya. Mwelekeo Mpya wa Kifedha.
📅 JUMAMOSI, Januari 24, 2026
⏰ Saa 7:00 Jioni (Central Time)
(5PM PT | 6PM MT | 8PM ET)
🌐 Online | Lugha: Kiingereza
🔗 Jiunge hapa:
https://streamyard.com/watch/TCH59wwy7Qga
Hukuja Marekani au Canada kuishi maisha ya kawaida.
Ulikuja kubadilisha maisha yako na ya vizazi vyako kwa baadae.
Mabadiliko hayo hayaji kwa bahati, hayaji kwa kazi ngumu pekee, wala hayaji kwa mshahara mkubwa tu.
Yanahitaji ELIMU YA FEDHA.
Kwenye webinar hii ya BURE utajifunza:
• Mfumo wa pesa wa Marekani & Canada
• Jinsi ya kupata, kulinda, kukuza na kuizidisha pesa
• Jinsi ya kuacha maisha ya paycheck to paycheck
• Kujenga usalama wa kifedha wa muda mrefu
👉 Badili maisha yako leo, ili watoto wako wasipambane kesho.
✅ Sifa za kushiriki:
Lazima uwe unaishi Marekani au Canada
(Bila kujali immigration status)
🔔 BURE | ONLINE | USIKOSE
.png)
0 Comments